Wema: Kipindi Cha in My Shoes on Air Next Week, Diamond Atakuwepo.


Kipindi cha maisha na hustle za Wema Sepetu 'In
My Shoes' msimu wa pili kinaanza tena wiki ijayo
na kwenye interview niliyofanya naye Wema
amesema haya mapya
1] Maboresho mengi zaidi, mwanzo ulikuwa
mgumu sana, sasa nitaonyesha kila kitu kwa
upana zaidi.
2] Safari zake za njee zitaonekana.
3] Anavyotengeneza pesa na dili anazofanya
vitaonekana
4] Mpenzi wake Diamond ataonekana kwenye
show "Episode ya kwanza atakuwepo na
zinazokuja".
Show ya Wema ambaye ni Miss Tz 2006
itarushwa Ijumaa saa tatu na nusu usiku kabla ya
Friday Nite Live
Wema: Kipindi Cha in My Shoes on Air Next Week, Diamond Atakuwepo. Wema: Kipindi Cha in My Shoes on Air Next Week, Diamond Atakuwepo. Reviewed by Unknown on 12:29:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.