MAHABA NIUE:SABBY AMFUNIKA MKE WA BOB JUNIOR KWA MAHABA!


MSANII anayechipukia kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amefunguka kuwa kwa kipindi kifupi ambacho amezama kwenye penzi la staa wa Bongo Fleva, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior’, amempa mahaba mazito kiasi cha kumfanya asimkumbuke aliyekuwa mkewe.
Msanii wa filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ akipozi na 'Bob Junior' kimahaba.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Sabby alisema kuwa ameamua kuonyesha ufundi wake wote wa kimahabati kwa msanii huyo kwani ni mwanaume ambaye amemuona mwenye mapenzi ya dhati.
‘Sabby Angel’ akipozi.
“Sijawahi kukutana na mwanaume mwenye mapenzi kama huyu na mimi zawadi nitakayompa ni mapenzi mazito na nitamaliza ufundi wangu wote kwake na kamwe hatokumbuka kama aliwahi kuwa na mke kabla yangu,” alisema Sabby.Bob Junior aliwahi kumuoa mwigizaji, Halima Ally kisha wakamwagana baada ya kuzaa naye mtoto mmoja.
MAHABA NIUE:SABBY AMFUNIKA MKE WA BOB JUNIOR KWA MAHABA! MAHABA NIUE:SABBY AMFUNIKA MKE WA BOB JUNIOR KWA MAHABA! Reviewed by Unknown on 12:30:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.