UNAJUA ALICHOFANYA MDOGO WAKE BEYONCE .SOLANGE NA HUYU MWANAUME



Taarifa mpya kuhusu Mdogo wa msanii wa Rnb Beyonce 'Solange Knowles' ni kwamba anakaribia kuolewa ndani ya siku chache zijazo na mpenzi wake wa muda mrefu Alen Ferguson mwenye miaka 51.

Hii itakuwa ndoa ya pili kwa Solange baada ya kuvunjika kwa ndoa yake ya kwanza na Daniel Smith.

Hizi Picha Zao Pamoja na Beyonce.




UNAJUA ALICHOFANYA MDOGO WAKE BEYONCE .SOLANGE NA HUYU MWANAUME UNAJUA ALICHOFANYA MDOGO WAKE BEYONCE .SOLANGE NA HUYU MWANAUME Reviewed by Unknown on 12:05:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.