KIBAKA ACHOMWA MOTO AKIIBA MALI ZA ABIRIA BAADA YA AJALI KAHAMA

Kibaka baada ya kuchomwa moto.
Wananchi wakishuhudia kibaka akichomwa moto.
KIJANA mmoja ambaye bado hajafahamika jina lake anayedaiwa kuwa 

kibaka ameuawa kwa kuchomwa moto wakati akiwaibia abiria walipata ajali na basi la Wibonela leo asubuhi maeneo ya kona ya Phantom, Kahama.
Kibaka huyo ameuawa na watu wenye hasira kali waliofika eneo la ajali kutoa msaada kwa abiria.
KIBAKA ACHOMWA MOTO AKIIBA MALI ZA ABIRIA BAADA YA AJALI KAHAMA KIBAKA ACHOMWA MOTO AKIIBA MALI ZA ABIRIA BAADA YA AJALI KAHAMA Reviewed by Unknown on 10:55:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.