BREAKING NEWS : MWENDESHA BODABODA AUAWA KWA KUCHINJWA


Taarifa zilizoufikia mtandao huu na kuthibitishw ana baadhi ya watu ni kwamba, kumetokea tukio la mauaji la mwendesha pikipiki maarufu kama bodaboda mjini Morogoro, ameuawa 



kwa kuchinjwa na kutobolewa mwili wake. Watoa taarifa wanasema tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Msamvu Pepsi.
Taarifa zaidi tutawaletea kila tutakavyozipata. Endelea kufwatilia
BREAKING NEWS : MWENDESHA BODABODA AUAWA KWA KUCHINJWA BREAKING NEWS : MWENDESHA BODABODA AUAWA KWA KUCHINJWA Reviewed by Unknown on 11:24:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.