MSIMBA..!! KIJANA SANDE MREMA ALIYEKUWA NA TATIZO LA KUWA NA KILO NYINGI ZILIZOKUWA ZIKIFIKIA 250 NA UMRI WA MIAKA 25 AMEFARIKI DUNIA



Kijana Sande Mrema aliyekuwa na tatizo la kuwa na kilo nyingi zilizokuwa zikifikia 250 na umri wa miaka 25 amefariki dunia usiku wa saa nne kuamkia leo jijini Dar es salaam.
Kwa mujibu wa mwandishi wetu wa ITV Sam Mahela aliyekuwa akiripoti habari hii amesema kuwa Sande amefariki dunia wakati bado taratibu za kuona ninamna gani atakavyoweza kupatiwa ndege kwaajili yakwenda kupatiwa matibabu nchini india zilikuwa zikifanyika miongoni mwa wanandugu.


MSIMBA..!! KIJANA SANDE MREMA ALIYEKUWA NA TATIZO LA KUWA NA KILO NYINGI ZILIZOKUWA ZIKIFIKIA 250 NA UMRI WA MIAKA 25 AMEFARIKI DUNIA MSIMBA..!! KIJANA SANDE MREMA ALIYEKUWA NA TATIZO LA KUWA NA KILO NYINGI ZILIZOKUWA ZIKIFIKIA 250 NA UMRI WA MIAKA 25 AMEFARIKI DUNIA Reviewed by Unknown on 2:57:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.