MRISHO NGASSA NA LADHIA WAMEREMETA JIJINI DAR


Mrisho Ngassa na mkewe Ladhia Mngazija wakiwa na nyuso za tabasamu baada ya kufunga ndoa leo.  
MSHAMBULIAJI wa Taifa Stars na Yanga SC, Mrisho Ngassa leo amefunga ndoa ya pili na Ladhia Mngazija eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam. 
...Wawili hao wakiwa wamekumbatiana baada ya harusi.
MRISHO NGASSA NA LADHIA WAMEREMETA JIJINI DAR MRISHO NGASSA NA LADHIA WAMEREMETA JIJINI DAR Reviewed by Unknown on 11:46:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.