Huyu Ndio Miss Tanzania 2014 Mpya Baada ya Sitti Mtemvu Kujivua Taji kwa Kashfa ya Umri


Baada ya Sitti Mtemvu 2014 kujivua taji rasmi ndani ya hoteli ya JB BELMONTE Posta - Dar es Salaam leo Mshindi namba 2, Lilian Kamazima kakabidhiwa rasmi taji hilo.
Sitti alikuwa anashutumiwa kwa kugushi vyeti na umri ili ashide u-miss ambapo ilizua mjadala mkubwa
Huyu Ndio Miss Tanzania 2014 Mpya Baada ya Sitti Mtemvu Kujivua Taji kwa Kashfa ya Umri Huyu Ndio Miss Tanzania 2014 Mpya Baada ya Sitti Mtemvu Kujivua Taji kwa Kashfa ya Umri Reviewed by Unknown on 2:44:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.