Lady Jaydee na Gadner G Habash hawajawahi
kukiri hadharani kuwa ndoa yao imevunjika licha ya magazeti mengi ya
udaku kuandika hivyo.
Kuna kila dalili kuwa yamemwayo ni kweli hasa baada ya mtangazaji huyo mkongwe kupost picha akiwa na mrembo aliyejifunga taulo kwenye bwawa la kuogelea.
Gadner ambaye kwa sasa anafanya kazi kwenye kituo cha redio cha EFM alipost picha hiyo bila kuandika chochote zaidi ya kuweka ‘emoji’ ya mkono unaopunga.
Inaonekana kuwa tayari Captain ameshaamua kusonga mbele!
BAADA YA KUACHANA NA LADY JAYDEE GADNER G HABASH FULL BATA NA MREMBO MWINGINE
Reviewed by Unknown
on
3:47:00 AM
Rating: