BIG BROTHER AFRICA: IDRIS APETA, SAMANTHA NA MR. 265 WAYAAGA MASHINDANO




Mwakilishi wa Tanzania aliyesalia kwenye shindano la Big Brother Africa, Idris Sultan ataendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania baada ya Jumapili hii kuokolewa na kura za mashabiki barani kote.

Hata hivyo Idris anaweza akawa amejeruhiwa kwa mara ya kwanza baada ya rafiki yake wa karibu, Samantha wa Afrika Kusini kuondolewa. Mrembo huyu ameungana na mwakilishi wa Malawi Mr. 265 kufungasha virago.

Habari  zote  za  Big Brother zinaruka  hewani  kupitia  site  pendwa  ya www.bigbrotherafricans.com

Bado  hujachelewa  <<< BOFYA  HAPA>>  Kujionea  kila  kitu  kutoka  ndani  ya  Jumba  hilo  la  kikubwa.
BIG BROTHER AFRICA: IDRIS APETA, SAMANTHA NA MR. 265 WAYAAGA MASHINDANO BIG BROTHER AFRICA: IDRIS APETA, SAMANTHA NA MR. 265 WAYAAGA MASHINDANO Reviewed by Unknown on 11:40:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.