UGOMVI WA WAKULIMA NA WAFUGAJI...TAHADHARI PICHA ZA KUTISHA KILICHOKEA HUKO KITETO WATU KUCHINJAN

Mapigano bado yanaendelea kati ya wafugaji wakimasai na wakulima eneo la Matui, chanzo kugombea maeneo ya kilimo na ufugaji, naomba serikali ichukue hatua maana hali ni mbaya sana, hamna hata pilisi mmoja aliyeenda kutuliza gasia hizo, watu wengi wameshaanza
kuyahama makazi yao kunusuru maisha yao, na inasemekana kuna kundi kubwa la wamasai kutoka Mererani na Simanjiro wamejipanga kwenda kuwasaidia wenzao. 

update
Raia wamfunga majumba yao na wamekusanyika katika kituo kidogo cha polisi Matui kwajili ya usalama wao.


UGOMVI WA WAKULIMA NA WAFUGAJI...TAHADHARI PICHA ZA KUTISHA KILICHOKEA HUKO KITETO WATU KUCHINJAN UGOMVI WA WAKULIMA NA WAFUGAJI...TAHADHARI PICHA ZA KUTISHA KILICHOKEA HUKO KITETO WATU KUCHINJAN Reviewed by Unknown on 12:08:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.