MAMBO KUMI YA KIJINGA YANAYOFANYA MOVIE ZA KIBONGO ZIZARAULIWE HAYA HAPA….

bongo movie
1-walinzi wengi huwa ni comedians
2-tajiri anakuja kumpenda masikini
3-jambazi lazima awe anavaa miwani nyeusi na mvuta sigara na koti refu jeusi
4-wote wanaouwawa kwa bunduki hupigwa kifuani au tumboni sio kichwani
5-mtu yupo village,life gumu ana wave kichwani
6-wimbo wa malavidavi unaimba mpaka unaisha
7-nusu saa mtu anatembea, anakimbizwa, ananunua vitu
8-wakifika hotelini imezoeleka ni juice au wine isiyofunguliwa
9-madem wanaamka wana makeups usoni na hereni kabisa
10-part 2 ya movie ukiiona mwanzo unajua part 1 ilikuwaje
11-jini akifika barabarani anaangalia pande zote ndo avuke..!
MAMBO KUMI YA KIJINGA YANAYOFANYA MOVIE ZA KIBONGO ZIZARAULIWE HAYA HAPA…. MAMBO KUMI YA KIJINGA YANAYOFANYA MOVIE ZA KIBONGO ZIZARAULIWE HAYA HAPA…. Reviewed by Unknown on 6:09:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.