VAI WA BONGO MOVIE..!! NIMETENGWA, KISA USAGAJI

MSANII wa Filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amesema sasa hivi yuko kwenye wakati mgumu kutokana na baadhi ya marafiki na ndugu kumtenga wakimhusisha na skendo ya usagaji.
Msanii wa Filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’.
Akichonga na paparazi wetu, Vai alisema amekuwa akiumia na kukosa raha kwani kila kona anayokatiza anaitwa msagaji kutokana na kuwa na mashosti wengi wenye katabia hako, jambo linalomfanya atengwe.
“Kila ninakopita naitwa msagaji, hata baadhi ya marafiki wananikimbia baada ya wazazi wao kuwakataza kwamba wasiwe na mazoea na mimi kwa sababu ni msagaji, ukweli ninaumia sana kwani sina tabia hiyo jamani naombeni watu wanielewe,” alisema Vai.

VAI WA BONGO MOVIE..!! NIMETENGWA, KISA USAGAJI VAI WA BONGO MOVIE..!! NIMETENGWA, KISA USAGAJI Reviewed by Unknown on 6:55:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.