Msanii wa Muvi Bongo Kajala Masanja
Kajala ambaye anakimbiza kunako anga la filamu Bongo, amesema anasumbuliwa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo sasa siku hiyo alikunywa sana pombe na kujikuta akipata maumivu makali tumboni.
Kajala ambaye anakimbiza kunako anga la filamu Bongo, amesema anasumbuliwa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo sasa siku hiyo alikunywa sana pombe na kujikuta akipata maumivu makali tumboni.
“Najuta mwenzenu siku ile kunywa pombe maana maumivu niliyoyapata sitayasahau, nafikiri huu ndiyo utakuwa mwisho wangu kunywa pombe,” alisema Kajala
POMBE ZAMTOKEA PUANI KAJALA.. SOMA YALIYOMKUTA
Reviewed by Unknown
on
10:30:00 AM
Rating: