Kipande cha wimbo mpya wa Dimond platnumz chavunja rekodi


kama unajua unajua tu diamond azidi kuwafumba midomo waongeaji na kuwapunguzia kasi kina kobe kwa kutoa kipande cha ngoma yake mpya embu kisikilize hapa wewe  mwenyewe utajua kama jamaa anajua ata kama unazo chuki binafsi lakini msela anaweza kamwe ato shuka kwani maneno yako wewe ni mtaji kwake unaposema anafulia mwenzako ndo anazidi kukaza buti kusonga mbele kila siku bola kuachana nae na kuacha kumlinganisha wasanii  ambao awajafikia hadhi yake aliko kwa sasa    BOFYA HAYA MANENO KUSIKILIZA
Kipande cha wimbo mpya wa Dimond platnumz chavunja rekodi Kipande cha wimbo mpya wa Dimond platnumz chavunja rekodi Reviewed by Unknown on 11:05:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.