AUNT LULU AKIRI MASTAA WA BONGO KUFANYA BIASHARA YA NGONO MITANDAONI


MWANADADA mwenye umbo la utata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ ameibuka na kueleza kwamba mastaa wamegundua njia mpya ya kujiuza ambayo ni kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
Akistorisha na gazeti hili, Aunt Lulu alisema mastaa wengi wa kike wanajiuza kwenye mitandao ambapo mapedeshee waliopo mikoa mbalimbali wakishaziona picha zao huwa wanawatafuta kwa udi na uvumba ambapo wanawapigia simu na kuwatumia fedha na tiketi za ndege ya kwenda na kurudi.
‘Aunt Lulu’akiwa kwenye pozi.
“Yaani mastaa wa kike hatulali unakuta pedeshee anakutumia tiketi ya ndege unamfuata mkoani ukienda usiku asubuhi umesharudi Dar unaendelea na mambo yako ndiyo maana unawaona wasanii wengi wa kike wana fedha lakini kazi wanazozifanya huzioni,” alisema Aunt Lulu.
AUNT LULU AKIRI MASTAA WA BONGO KUFANYA BIASHARA YA NGONO MITANDAONI AUNT LULU AKIRI MASTAA WA BONGO KUFANYA BIASHARA YA NGONO MITANDAONI Reviewed by Unknown on 12:00:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.