Licha ya kuwa tukio la kuvuja kwa picha
za utupu limempa picha mbaya kwa jamii muimbaji wa Uganda Desire
Luzinda, lakini upande mwingine limemuongezea umaarufu mkubwa kwa muda
mfupi ambao hakuwahi kuupata kupitia muziki wake ambao amekuwa akiufanya
miaka mingi. Sasa amefahamika zaidi ndani na nje ya Uganda.
Kwa mujibu wa Bigeye ya Uganda, Luzinda amewaambia marafiki zake jinsi alivyokuwa maarufu kupitia picha moja tu ya utupu.
“Nimepoteza muda mwingi kufanya
muziki, nimejitahidi sana kutoa hits. Yote hiyo ilikuwa kazi ngumu,
lakini picha moja tu ya utupu Uganda nzima inanizungumzia mimi. Nimeweza
hata kwenda BBC na Daily Mail. Muziki wangu usingeweza kunifikisha
kwenye hizo sehemu lakini mwili wangu umeweza.” Inadaiwa Luzinda aliwaambia marafiki zake.
Aliongeza, “Nafikiria mtu kama Kim
Kardashian anaogopa kwasasa. Vinginevyo, kwanini akimbilie kupiga picha
za utupu wakati ambao BBC imenihoji mimi. Anahofia. Hataki kukubali
ukweli kwamba sisi watu weusi tuna miili mizuri na tunavutia. Kama yeye
ame ‘break the Internet, mimi nitaivunja vizuri zaidi.”
“Kuna vingi tunavyofanana, lakini
lazima niseme, mimi ni mzuri zaidi, Wakati ambapo mkanda wangu wa ngono
utakapotoka, mkanda wa ngono wa Kim utapotea kwasababu wangu umejaa mvua
za elnino. Lakini ngoja niende taratibu, muda ukifika, sitavunja tu
internet, nitaifunga internet na ‘bombastic s3xtape’ yangu.”
Wakati huo huo Luzinda ameingia studio
kurekodi wimbo uitwao ‘Apology’, ukiwa ni maalum kwaajili ya kuwaomba
radhi mashabiki wake, marafiki na familia.
Desire Luzinda: Picha ya UCHI imenipa umaarufu ambao sikuwahi kuupata kupitia muziki
Reviewed by Unknown
on
12:17:00 AM
Rating: