Hii ndio Njia Rahisi ya kumpigia Diamond Kura kwenye Tuzo za Chanel 0


Habari za asubuhi,kama mjuavyo ni msimu wa
kupiga kura tu huu,sasa kwa yule anaepata tabu
kuvote kwa website nakuomba fuatisha maelekezo
haya:
tumia smartphone yk ama tablet ama computer yako
bonyeza hii link http://channelo-awards.dstv.com/
ikifunguka
1. nenda sehem ya kujisajil (login) utaclick hapo
2. shuka chin utaona wameandika dont have an
account? register, utaclick hapo
3.then ikifunguka utaona walipoandka register wth
email or phone namba. (chagua wth phone number)
4.Utajaza namba yako then utatumiwa code then
utaverify kwa kutumia hyo code utakuwa umemaliza
utaanza kuvote. Katika categories zote nne
zilizoorodheshwa kwenye picha hapo juu.Ni rahisi
sana ,
KUWA MZALEND SAMBAZA UPENDO
Hii ndio Njia Rahisi ya kumpigia Diamond Kura kwenye Tuzo za Chanel 0 Hii ndio Njia Rahisi ya kumpigia Diamond Kura kwenye Tuzo za Chanel 0 Reviewed by Unknown on 12:10:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.