HUZUNI YATANDA..!! MSANII WA BONGO FLEVA GEEZ MABOVU AMEFARIKI DUNIA


Taarifa zilizotufikia hivi punde zimedai kuwa rapper Geez Mabovu amefariki dunia  mjini Iringa.



Kwa mujibu wa taarifa kutoka Iringa, Geez amefariki jioni hii. Alienda kwao wiki moja na nusu iliyopita ambako alianza kuugua mfululizo. Taarifa zaidi zinakuja.

December 27 mwaka jana, hitmaker huyo wa Mtoto wa Kiume alizidiwa ghafla kabla ya show iliyokuwa ifanyike mjini Iringa kwenye ukumbi wa Twista Night Club alikokuwa atumbuiza na rappers wengine wakiwemo Wakazi, Songa, Jan B na Chidi Benz.
HUZUNI YATANDA..!! MSANII WA BONGO FLEVA GEEZ MABOVU AMEFARIKI DUNIA HUZUNI YATANDA..!! MSANII WA BONGO FLEVA GEEZ MABOVU AMEFARIKI DUNIA Reviewed by Unknown on 10:02:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.