Nuhu Mziwanda Aongelea Habari ya Kupigwa na Shilole..'Asema ni Mapenzi'


Stori: Imelda Mtema

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda amefunguka kuwa  watu wanaomsema vibaya kuhusu yeye kupewa kichapo na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ wanakosea kwani anaamini kufanywa hivyo ni mahaba.

Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Mziwanda alisema kuna taarifa zimeenea kuwa huwa anapigwa na Shilole pindi anapokosea lakini ukweli si kupigwa ‘live’ bali ni kupigwa kimahaba.
“Jamani kupigwa wanakozungumzia watu sielewi lakini mimi ananipiga kimahaba, wanaosema kuwa mpenzi wangu ananipiga washindwe, watuache kwa raha zetu,” alisema Shilole.
TOA MAONI YAKO:
10 Nov 2014
Nuhu Mziwanda Aongelea Habari ya Kupigwa na Shilole..'Asema ni Mapenzi' Nuhu Mziwanda Aongelea Habari ya Kupigwa na Shilole..'Asema ni Mapenzi' Reviewed by Unknown on 12:34:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.