Mwigizaji wa hapa bongo ambaye anafanya
poa katika industry ya filamu Tanzania Aunt Ezekiel ambaeni best friend
mzuri wa Wema Sepetu, baada ya kugongwa swali na mwandishi makini wa
habari hii kuwa endapo
ikatokea chanchi ya yeye ku-spend na mwanasiasa atamchagua nani? alicho
kijibu Aunt hiki hapa ” Yea katika suala la mapenzi mimi huwa
sikurupuki, pia siwezi kutembea na wanasiasa hatakama ninge shawishiwa
kwa mtonyo wa kiasi gani, kwanza siwezi kufanya mchepuko hata kidogo coz
naiheshimu sana ndoa yangu”. ALISEMA AUNT
SABABU KUBWA INAYO PELEKEA AUNT KUOGOPA MICHEPUKO
Reviewed by Unknown
on
11:55:00 PM
Rating: