LEGENDARY kwenye
anga la sanaa Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa mara ya kwanza amefunguka
kuwa mpenzi wake wa sasa, Chuchu Hans ndiye kila kitu na kilichobaki ni
ndoa tu.
Akizungumza na paparazi wetu, Ray
alisema licha ya kupitia katika changamoto nyingi za mapenzi lakini kwa
Chuchu amefika na haoni tabu kujinadi kwa mtu yeyote juu ya penzi lake
hilo.
“Chuchu ndiye kila kitu kwangu,
tunaendana kwa kila kitu hivyo nitakaowaudhi kwa kumpenda yeye,
wanisamehe,” alisema Ray.Ray kabla ya kuwa na Chuchu, kwa nyakati
tofauti alikuwa akitajwa kushea penzi la mwigizaji Ruth Suka ‘Mainda’ na
Blandina Chagula ‘Johari’.
RAY: CHUCHU SASA NDO’ KILA KITU KWANGU
Reviewed by Unknown
on
1:41:00 AM
Rating: