TAARIFA KAMILI NA PICHA KUHUSU JENGO LA MACHINGA COMPLEX KUWAKA MOTO



Huu ni mfano wa Gari la Kikosi cha Zimamoto. 

Taarifa zilizotufikia muda mfupi uliopita ni kuhusu tukio la ajali ya moto Dar es salaam. 


Kupitia kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds,mtangazaji Adam Mchomvu ametoa taarifa kuhusiana na jali ya moto iliyotokea katika jengo la Machinga Complex lililopo Ilala, Dar es saalam 

Chanzo cha moto huo mpaka sasa hakijafahamika na tunaendelea kufuatilia ili kukupa taarifa zaidi na hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo. 


TAARIFA KAMILI NA PICHA KUHUSU JENGO LA MACHINGA COMPLEX KUWAKA MOTO TAARIFA KAMILI NA PICHA KUHUSU JENGO LA MACHINGA COMPLEX KUWAKA MOTO Reviewed by Unknown on 12:02:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.