Ni kama vile Diamond Ameamua kufunguka ila kwa kutumia Mafumbo kuhusu kuachwa na Wema Sepetu Leo Amepost Ujumbee Huu Kwenye Instagram : "Alidanganywa na wale, wa Mapesa Nyumba Gari... Mie Ungaunga Hakunijali Akanikimbiaa....." Baadhi ya Comments za watu kutoka instagram:
Diamond Platnumz Atoa Sababu za Kuachwa na Wema Sepetu
Reviewed by Unknown
on
10:20:00 PM
Rating: 5