KIZAAZA CHAIBUKA BAADA YA FACEBOOK YA MAREHEMU GEEZ MABOVU KUTUMIKA.


Du jamani hivi kweli hii ni akili au matope .... Kuna mtu asiyefahamika leo amezua kizazaa baada ya kutumia Ac ya Marehemu Geaz Mabovu... kizazaa hicho kimetokea muda mchache baada ya ku badilisha Profile picha na kuendelea kui Update Ac hiyo na kusababisha mashabiki kujiuliza mbara mbili kuwa Marehemu kafufuka au? 
huku wengine wakishambilia kwa matusi na kumuomba huyo mtu mwenye mawazo mgando kutoitumia hiyo ac: ''
''Wewe unaetumia hii account ya Geez Mabovu Artist unabadilisha profile tunakuomba ufunge hii account au ubadilishe jina maana mwenyewe hayupo duniani tena utabaki unawakumbusha watu machungu.
R.I.P NINJA.''

KIZAAZA CHAIBUKA BAADA YA FACEBOOK YA MAREHEMU GEEZ MABOVU KUTUMIKA. KIZAAZA CHAIBUKA BAADA YA FACEBOOK YA MAREHEMU GEEZ MABOVU KUTUMIKA. Reviewed by Unknown on 12:20:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.