Unaambiwa Davido Alivuta Dolla 40,000 Fiesta...'Loading..'


Kwa mujibu wa MwanaFa akiwa kwenye kipindi Choice fm ni kuwa Davido alilipwa Dolla 40,000 kupiga show Fiesta.

Fa alihoji kwa nini waandaaji wasiwalipe dolla 10,000 wasanii wanne wa Bongo wapige show kali kuliko kuzipoteza kwa show mbovu ya Davido?

Je wadau wa Fiesta ni kweli kuwa show ya Davido haikuwa na thamani hiyo au ni kujikweza tu kwa Fa na wenzake?
Unaambiwa Davido Alivuta Dolla 40,000 Fiesta...'Loading..' Unaambiwa Davido Alivuta Dolla 40,000 Fiesta...'Loading..' Reviewed by Unknown on 1:01:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.