BIG BROTHER AFRICA: Mtanzania na Mkenya wafungasha virago


Mwakilishi wa kike wa Tanzania, Laveda ameondolewa kwenye mashindano ya Big Brother Africa Jumapili hii.

Laveda amekuwa mshiriki wa sita wa kike kuondolewa kwenye
mashindano hayo. Mshiriki mwingine aliyetoka leo ni Alusa wa Kenya ambaye amekuwa mwanaume wa kwanza kutoka. Kenya haina tena mwakilishi kwenye shindano hilo.

Tanzania imebakiza mshiriki mmoja, Idris Sultan.
BIG BROTHER AFRICA: Mtanzania na Mkenya wafungasha virago BIG BROTHER AFRICA: Mtanzania na Mkenya wafungasha virago Reviewed by Unknown on 12:40:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.