VIDEO, HASHEEM LUNDENGA AFUNGUKA JUU YA SAKATA LA UMRI WA SITTI MTEMVU MISS TZ..TAZAMA VIDEO HAPA UJUE KILICHOJIRI



Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency ambao ni waratibu wakuu wa Mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (katikati) akionyesha cheti cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014 kwa wanahabari (hawapo pichani). Kushoto ni Miss Tanzania, Sitti Mtemvu.

Katika Mahojiano na waandishi waalitaka kujua kuhusu cheti chakuzaliwa, ila jibu lilikosekana kwani Sitti alionekana akirusha swali hilo kwaku sema yeye huwa anasafiri mara kwa mara na hivyo cheti chake kilipotea, ikabidi wapate kingine, Swali lingine lilikuja, unapopotelewa na cheti lazima ukareport polisi ili upate cheti kingine je yeye alienda kureport wapi, hakujibu hilo swali alidai kwamba hakujiandaa

TAMA VIDEO HAPA CHINI
VIDEO, HASHEEM LUNDENGA AFUNGUKA JUU YA SAKATA LA UMRI WA SITTI MTEMVU MISS TZ..TAZAMA VIDEO HAPA UJUE KILICHOJIRI VIDEO, HASHEEM LUNDENGA AFUNGUKA JUU YA SAKATA LA UMRI WA SITTI MTEMVU MISS TZ..TAZAMA VIDEO HAPA UJUE KILICHOJIRI Reviewed by Unknown on 9:09:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.