SOMA HAPA HII NI KWA WANAWAKE WANAOTUMIA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIO


ukubwa wa makalio yao na kujiletea madhara
makubwa ya kiafya
Hii ni kutokana na mtindo ambao unaonekana na
wengi nchini humo kwamba mwanamke mwenye
makalio makubwa ndiye anayependeza zaidi
Wanawake wengi sasa wanahatarisha afya zao kwa
kutaka kuwa ' warembo'
Mmoja kati ya wanawake , mwenye umri wa miaka
35 ambaye pia ni wakil abubujikwa na machozi ,
baada ya siku moja kujikuta na uvimbe sawa na
ukubwa wa mpira katika sehemu ya chini ya
mgongo wake.
Daktari anaonyesha picha ya moja ya athari za
sindano za Silicon kwa makalio
Sababu ? Kupata kile ambacho jamii inaona kama
urembo.
SOMA HAPA HII NI KWA WANAWAKE WANAOTUMIA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIO SOMA HAPA HII NI KWA WANAWAKE WANAOTUMIA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIO Reviewed by Unknown on 7:14:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.