Mwanamuziki Ali Kiba Akanusha Vikali Kuwa Aliandaa Watu Kumzomea Diamond Fiesta

Mwanamuziki Ali Kiba a.k.a The King is Back  Amekanusha Vikali Uvumi ulio enea mitandaoni na magazetini kuwa eti alikodisha watu kwa ajili ya kumshangilia yeye na pia kumzomea Diamond Platnumz...Ali Kiba Amesema hawezi fanya kitu kama hicho kamwe kwa sababu hakina faida yoyote katika mziki wake ...Ali kiba pia Amewashukuru sana mashabiki kwa jinsi walivyompokea siku hiyo kwa kusema kuwa kitendo hicho cha kupokelewa vizuri kimempa matumaini mapya kimuziki.
Mwanamuziki Ali Kiba Akanusha Vikali Kuwa Aliandaa Watu Kumzomea Diamond Fiesta Mwanamuziki Ali Kiba Akanusha Vikali Kuwa Aliandaa Watu Kumzomea Diamond Fiesta Reviewed by Unknown on 5:36:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.