Martin Kadinda Amuanika Mpenzi Wake Anayetarajia Kufunga Nae Ndoa


Na Imelda Mtema
MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda ameamua kumuweka wazi mpenzi wake ambaye siku za nyuma alikuwa na mpango wa kufunga naye ndoa mapema mwaka huu lakini kukatokea tofauti kidogo wakahairisha zoezi hilo.

Akizunguza na  mwandishi wa habari hivi karibuni, Kadinda  aliweka wazi kuwa huyo ndio mke wake mtarajiwa na Mungu akipenda watafunga naye ndoa mwakani.  “ Ni kweli ni mpenzi wangu nampenda sana na Mungu akipenda ndiye mke wangu ambaye nitafunga naye ndoa mapema tu mwakani na Mungu atusimamie katika hilo,” alisema Kadinda.
Martin Kadinda Amuanika Mpenzi Wake Anayetarajia Kufunga Nae Ndoa Martin Kadinda Amuanika Mpenzi Wake Anayetarajia Kufunga Nae Ndoa Reviewed by Unknown on 1:12:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.