Mwendesha
mashtaka Rosine Kone amesema kwamba kesi hiyo ya aina yake itatuma
ujumbe mzito kwa raia wa nchi hiyo ili wanaume waache tamaa.
Nao
Umoja wa Mataifa unasema kwamba ndoa za utotoni nchini Ivory Coast si
suala la kushangaza, kwani mmoja kati ya mabinti watatu huolewa kabla ya
kufikisha umri wa miaka kumi na nane.
credits kwa bbc
BABA MZAZI AFUNGA NDOA NA BINTI YAKE WA KUMZAA MWENYE MIAKA 11
Reviewed by Unknown
on
12:57:00 PM
Rating: