Mtemvu: Umri wa Binti yangu Miss Tanzania ni Siasa za Wapinzani Wangu Ndani ya CCM


Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu amedai kwamba sakata la binti yake, Sitti Mtemvu, kudaiwa kuchakachua umri linachochewa na wapinzani wake wa kisiasa ndani ya CCM. Mtemvu alisema hayo wakati alipokuwa anamtetea binti yake ambaye amedanganya umri ili aweze kushiriki mashindano ya Miss Tanzania. Binti yake huyo anadaiwa kuwa kijeba lakini aligushi cheti cha kuzaliwa ili kupunguza umri uliomwezesha kushiriki mashindano ya u-miss.

Chanzo: Clouds Radio

MAONI YANGU
Waliozoea kuishi kwa uongo ukweli hawauwezi - Tundu Lissu
Mtemvu: Umri wa Binti yangu Miss Tanzania ni Siasa za Wapinzani Wangu Ndani ya CCM Mtemvu: Umri wa Binti yangu Miss Tanzania ni Siasa za Wapinzani Wangu Ndani ya CCM Reviewed by Unknown on 1:42:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.