Eti The King is Back ! Kwani Alikuwa Ameenda Wapi na Kutuwakilisha Katika Jukwaa Gani Tangu Amekuwa King?


Kuna watu mnakera kwakweli..na nimeanza kuamini hizi team team hizi zinaua mziki..hivi unaambiwa eti king iz back cjui izi rudi..wat ???????alikua ameenda wapi??huyu king mziki wetu kaupeleka wapi?? huyu king katuwakilisha kwenye jukwaa gani kubwa tangu amekua king???simchukii mtu ila na nyie mnao jiita mastar vumbi nyie ndo wachonganishi kuliko hata hizo Team..star na wewe unaandika caption imekaa kimafumbo tuuu ili iweje?mie ni fans wa chibu na kiba...ila wat i see ni kwamba watu wana take advantage ya kiba kurud kwenye game ili kumshusha diamond na ni kitu ambacho akiwezekani..whether u believe o not..chibu atabaki kuwa chibu na tukubali tukatae dogo mziki wetu kautangaza ila hata kama mnamchukia kwa roho zenu mbaya kiba ataki kuwa star ki kwenu kwenu wakati diamond atakua star wa Tz yote..hizo vumbi na mikwala ni kawaida tu..by the way wote wamefanya show nzuri..sasa hizo king king iz back iz wat ndo nini??king ninae mjua ni majuto tu..wengine wasanii..tuufikishe mziki mbali ila sio kwa majumgu..Tanzania bila majungu inawezekana.....
KWAN UYO AL K ALIKUA KASAFIRI MPAKA ARUDI ALIENDA WAPI ? LEO NINA HASIRA LEO JICHANGANYE UONE !!!!!
By Malkia wa Insta
Eti The King is Back ! Kwani Alikuwa Ameenda Wapi na Kutuwakilisha Katika Jukwaa Gani Tangu Amekuwa King? Eti The King is Back ! Kwani Alikuwa Ameenda Wapi na Kutuwakilisha Katika Jukwaa Gani Tangu Amekuwa King? Reviewed by Unknown on 4:26:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.