
Meneja wa TMK Wanaume Family Said Fela amethibitisha kutokea kwa msiba huo. Msiba wa msanii huyo uko Keko nyumbani kwa baba yake. Said Fella amesema Marehemu ambaye jina lake halisi ni Yessaya Ambikile alifanya vizuri na msanii mwingine Y Dash na nyimbo kama 'Ulipenda Pesa', 'Pumzika', 'Shemsha' na nyimbo nyingi za TMK Wanaume Family kama 'Twende zetu' ya Chege, 'Dar mpaka Moro', 'Kichwa kinauma', 'Tufurahi' na nyimbo nyingi za TMK Wanaume family.
![]() |
YP akiwa na chama lake Chege na Temba Kutoka TMK |
![]() |
YP akiwa na Aslay pamoja na Stiko enzi za Uhai wake |
BREAKING NEWSS: MSANII KUTOKA TMK WANAUME FAMILY YP AFARIKI DUNIA
Reviewed by Unknown
on
1:22:00 AM
Rating:
