MKURUGENZI WA YAMOTO BAND NA WANAUME FAMILY SAID FELA AGOMBEA UENYEKITI WA SERIKALI ZA MTAA




Mkurugenzi wa Yamoto Band na Wanaume Family, Said Fela anawania uenyekiti wa serikali za katika mtaa wa Kirungure, wilayani Temeke kupitia CCM.
“Leo wadau naomba dua zenu nagombea serikali ya mtaa uku kwetu kirungule na nipo na mgombea mwenzangu ndio tunagombania hiki kiti apate yeye au nibebe Mimi inshaallah,” ameandika Fela kwenye Instagram.



Wadau tunaomba dua zenu leo kwa @mkubwafella ili aweze fanikiwa kubeba kiti hichi cha serikali ya mtaa Kirungule....
Wadau tunaomba dua zenu leo kwa @mkubwafella ili aweze fanikiwa kubeba kiti hichi cha serikali ya mtaa Kirungule....
MKURUGENZI WA YAMOTO BAND NA WANAUME FAMILY SAID FELA AGOMBEA UENYEKITI WA SERIKALI ZA MTAA MKURUGENZI WA YAMOTO BAND NA WANAUME FAMILY SAID FELA AGOMBEA UENYEKITI WA SERIKALI ZA MTAA Reviewed by Unknown on 1:09:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.