Shetta: Hatuwezi kumsaidia Chidi Benz kwa sasa, tuiachie mahakama


Shetta amesema sio rahisi kwa sasa kumsaidia Chidi Benz kwakuwa suala lake lipo mahakamani. Chidi alikamatwa na madawa ya kulevya kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere wiki iliyopita wakati akielekea Mbeya.


Shetta alikuwa na Chidi Benz wakati anakamatwa na walikuwa wakielekea Mbeya kwenye show.
Hili suala tayari lipo mahakamani, sasa siwezi sema nifuatiliee moja kwa moja kwa sababu nilisikia leo ndo anapelekwa mahamakani. Kwahiyi sasa hivi hebu tuache kwanza mahakama ifanye kazi yake mambo mengine baadaye,” amesema Shetta.
Credit Bongo5
Shetta: Hatuwezi kumsaidia Chidi Benz kwa sasa, tuiachie mahakama Shetta: Hatuwezi kumsaidia Chidi Benz kwa sasa, tuiachie mahakama Reviewed by Unknown on 1:40:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.