LADY JAYDEE AANZA KUMUIMBA MTALAKA WAKE.


Mdau mmoja Huko Jamii Forums Amefunguka Hivi kuhusu Tangazo la Mgahawa Mpya wa MOG ambalo amelifanya Lady Jady linalorushwa Radio Mbali Mbali: “Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda kwa jina jipya la MOG na kikolombwezo cha LIFE IS TOUGH na mwishowe anamalizia

na YAHAYA UNAISHI WAPIII Wenye kujua mafumbo wanajua anamaanisha nini!!! Jaydee ni mtu wa nongwa sana na anapenda visasi kapitiliza, ukigombana naye hakuachi mpaka akutungie wimbo wa vijembe kafanya hivyo kwa wengi tu wakiwemo Ruge, Mwana FA, na sasa vijembe vyote ni kwa mtalaka wake,
LADY JAYDEE AANZA KUMUIMBA MTALAKA WAKE. LADY JAYDEE AANZA KUMUIMBA MTALAKA WAKE. Reviewed by Unknown on 12:59:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.