SALMA JABIR:SINA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA DIRECTOR WANGUXXX

Salma Jabir


Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii utakuwa uliwahi kukutana na picha ya mtangazaji na pia mwongozaji wa kipindi cha Mkasi Salama Jabir akimpiga busu mmoja kati ya director wa kipindi cha mkasi mwenzie na kupitia page yake ya Instagram alizungumza hya hapa

''Wapendwa naombeni twende sawa hapa kidogo,,,ile picha ya masinema ya mabusu,,nothing is serious ni katika vijimambo tu vya location,,and the lucky guy happened to be a brother Mr Josiah "Josh"Murunga ambaye ni producer na director wa MkasiTv! Who is married! so nothing serious!..its just a brother and sister love(bloodline)..Nafahamu wengi mnahamu ya kumjua Hubby ake,,,basi Inshallah siku ikifika mtamjua!''


SALMA JABIR:SINA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA DIRECTOR WANGUXXX SALMA JABIR:SINA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA DIRECTOR WANGUXXX Reviewed by Unknown on 5:55:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.