MSAADA JAMANI, UVAAJI WA CHENI MIGUU YOTE MIWILI VIKUKU KWA WANAWAKE INAMAANISHA NINI??



Unaweza kuta kavaa mguu mmoja au yote miwili wao wanaita (VIKUKU) huwa zina ashilia au kumanisha nini? 

Huku mtaani midume huwa tuna danganyana sana juu ya hii kitu Wengine husema ukimuona anazo pande zote huyo antoa kotekote, Ebu tupeni ukweli wana dada au ni urembo tu kama heleni....?
MSAADA JAMANI, UVAAJI WA CHENI MIGUU YOTE MIWILI VIKUKU KWA WANAWAKE INAMAANISHA NINI?? MSAADA JAMANI, UVAAJI WA CHENI MIGUU YOTE MIWILI VIKUKU KWA WANAWAKE INAMAANISHA NINI?? Reviewed by Unknown on 7:40:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.