muda bila sababu za msingi bora nguvu zake azitunze hadi pale atakapokuwa akijifungua.Akimwaga cheche mbele ya mwanahabari wetu, Lulu alisema siku hizi wanaume wengi wanawafanya wasichana watumie nguvu kutetea penzi kutokana na migogoro isiyokuwa na msingi.
“Bora nguvu zangu nizihifadhi za kuendea leba kuliko kuzipoteza katika mapenzi kwani hayo mambo yamepitwa na wakati kabisa,” alisema Lulu.
LULU MICHAEL WA BONGO:SITUMII NGUVU NYINGI KATIKA MAPENZI
Reviewed by Unknown
on
2:50:00 AM
Rating: