Ukienda na Gari Mlimani City Jiandae Kulipa Parking Fee Hizi


Kama una Gari na umeamua kwenda mlimani city kula bata ama kufanya shopping kwa taarifa yako kupaki gari si bure tena kama zamani ...Kuna utaratibu mpya sasa wakulipia kwa wale wenye magari kulingana na masaa utakayo park gari yako...hiyo picha hapo juu inaonyesha bei.
Ukienda na Gari Mlimani City Jiandae Kulipa Parking Fee Hizi Ukienda na Gari Mlimani City Jiandae Kulipa Parking Fee Hizi Reviewed by Unknown on 1:48:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.