Le Mutuz Haters Wengi ni Wanaume Kuliko Ladies...


Hahahahah watanzania- bwana 
Le mutuz haters are mostly from men 
And- a few chicks- who just hate. .
Wanaume ni vile viuno anavyoshika lemutuz na ma bebez- inawakula- moyo na mnatamani- kufa...sikia huyu jamaa 
Ni wa kishua- hata mseme- nini huo ndo ukweli..or let me put it this way he still is this Rich kid that grew up in a well of family of once a prime minister of UROT..
Haya na ame- travel na diplomatic- passport mpaka ukubwani- mpo hapo? ?
Watu wengi anaouza- nao sura ni watu either kakua- nao uzunguni- hau alisoma- nao ushuani. .Come on guys his dad was a prime minister...It was a big deal...
Haya kuhusu kubeba- box!!me nilidhani watu wenye akili timamu- wangemsifia- kwamba jamaa na kuwa na Mali zote home na bata la baba wazuri mkuu- he still left all that and went to live independently- and hard working life in the us- na kula- Kwa jasho- lake kama m mwanaume. ..lakini kwasababu- watanzania- tumezoea- ufisadi- na wengi tumeclaim- mtoto wa waziri hawezi- fanya kazi kama zile basi mnamtukana. .mimi ndio sipendi baathi- ya sifa anazofanya- especially na hawa bongo celebraties- simply because of the status of his family and his dad..to me he can do much better ila that's just my opinion- cause mwisho wa siku mtu hachaguliwi- maisha...

~Winnie227 Via JF
Le Mutuz Haters Wengi ni Wanaume Kuliko Ladies... Le Mutuz Haters Wengi ni Wanaume Kuliko Ladies... Reviewed by Unknown on 1:45:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.