Mlemavu wa Macho Aelezea Jinsi Alivyochukua Kichapo Kwenye Vurugu za Mdahalo wa Katiba


Amoni aliekuwa mbunge wa bunge maalumu la katiba ambae ni mlemavu wa macho ametoa taarifa kwa vyombo vya habari na kuandika kwenye ukurasa wake wa wakijamii kuwa amepigwa na kupasuka na vijana wa ukawa na wakati wanampiga walikuwa wakimwambia kuwa “koma na acha kuitetea CCM’‘ kwa kweli nasikitika sana,mimi sioni,lakini nilikuwa na pigwa na mikono na kurushiwa kiti hadi pale ndugu yangu Makonda aliponiona nakuamua kuja kunisaidia,sina lakusema ila najua MUNGU ANAWAONA NA ANAWAJUA NA YEYE ATA WAPIGA HAPA HAPA DUNIANI KAMA WALIVYONIPIGA MIMI NAKUNIPASUA KICHWANI AMBAE SIJAWAHI KUWAPIGA,”

Mlemavu wa Macho Aelezea Jinsi Alivyochukua Kichapo Kwenye Vurugu za Mdahalo wa Katiba Mlemavu wa Macho Aelezea Jinsi Alivyochukua Kichapo Kwenye Vurugu za Mdahalo wa Katiba Reviewed by Unknown on 1:48:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.