MAPENZI YAKIZIDI NI HATARI...! MWANAUME AKATA NYETI ZAKE NA KUZITUPA BAADA KUACHIKA .

Mpenzi Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Moja Kwa Moja 

Oliver-Ilic
Mwanaume mmoja huko Macedonia ametoa ya mwaka baada ya kukata nyeti zake kwa kiwembe na kuzitupa kutokana na kushindwa kutimiza haki ya unyumba kwa mpenzi wake huku chanzo 
kikubwa kikiwa ni udogo wa nyeti zake. Jamaa huyo aliwaarifu polisi baada ya kutokwa na damu nyingi ila madaktari walifanikiwa kumfanyia upasuaji wa kuunga nyeti zake ambao ulitumia muda wa masaa 5.
Penis-ChopperSehemu ambako jamaa huyo alitupa nyeti zak
MAPENZI YAKIZIDI NI HATARI...! MWANAUME AKATA NYETI ZAKE NA KUZITUPA BAADA KUACHIKA . MAPENZI YAKIZIDI NI HATARI...! MWANAUME AKATA NYETI ZAKE NA KUZITUPA BAADA KUACHIKA . Reviewed by Unknown on 11:02:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.