Huyu ndie kijana wa CCM inayesemakana Kampiga Waziri Mkuu Mstafu Mzee Warioba na Chupa ya Maji Ubungo


Jambo la aibu na la kufedhehesha sana limetokea leo katika mdahalo uliondaliwa na taasisi ya mwalimu Nyerere,Ubungo. Katika mdahalo huo , vijana ambao mpaka sasa hawajafahamika walisisima gafla wote kwa pamoja wakiwa na mabango yanayopigia debe katiba inayopendekezwa na gafla fujo kubwa zikaibuka na watu kuanza kupigana. 

Kada wa CCM bwana Paul Makonda, pichani, inasemekana alimpiga Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba Mzee Joseph Sinde Walioba kwa chupa ya maji. Hili ni jambo la kwanza la aibu ya aina yake kutokea nchini kwa  kijana mdogo kumpiga waziri mkuu wa nchi na chupa ya maji. Tunatumai vyombo vya sheria vitachunguza tukio hili na kuwachukulia hatu vijana wote waliohusika katika fedheha hii.
Huyu ndie kijana wa CCM inayesemakana Kampiga Waziri Mkuu Mstafu Mzee Warioba na Chupa ya Maji Ubungo Huyu ndie kijana wa CCM inayesemakana Kampiga Waziri Mkuu Mstafu Mzee Warioba na Chupa ya Maji  Ubungo Reviewed by Unknown on 10:46:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.