HILI NDILO GARI JIPYAA LA MRISHO MPOTO


Mrisho anamiliki gari jipya, Toyota Land Cruiser Prado aliyoinunua leo.


Prado mpya ya Mpoto

Akiongea na Bongo5 akiwa mwenye furaha kubwa, Mpoto amesema licha ya kuwa na Prado nyingine ameamua kununua mpya ili imsaidie kwenye ziara zake mikoani. 


“Ndo ninatoka sasa hivi hapa show room, masuala ya bei wewe ingia kwenye mtandao uangalie lakini hii ni mpya na nimenunua show room. Hii itanisaidia kwenye tour zangu za mikoani,” amesema.


Mpoto akiwa kwenye Prado yake ya zamani
HILI NDILO GARI JIPYAA LA MRISHO MPOTO HILI NDILO GARI JIPYAA LA MRISHO MPOTO Reviewed by Unknown on 12:05:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.