BASI LA HAPPY NATION LAPATA AJALI MBEYA

Basi la Happy Nation maarufu kama Balotelli mtukutu lenye namba za usajili T 281 ARR likiwa limepata ajali maeneo ya Igurusi, Mbeya.Baadhi ya wananchi wakiwaokoa majeruhi waliopata ajali hiyo.Wananchi wamekusanyika kuzunguka basi lililopata ajali maenea ya Igurusi,Mbeya.
Basi la Happy Nation maarufu kama Balotelli mtukutu limepata ajali karibu na Igurusi mkoani Mbeya likiwa safarini kuelekea Dar. Chanzo cha ajali kikidaiwa kuwa ni kupasuka kwa tairi la mbele kushoto .
BASI LA HAPPY NATION LAPATA AJALI MBEYA BASI LA HAPPY NATION LAPATA AJALI MBEYA Reviewed by Unknown on 3:53:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.