HUU NDIO UCHAFU ULIOFANYIKA KWENYE PARTY YA KIBAO KATA...FULL LAANA...ANGALIA PICHA ZOTE HAPA





Hyperman HK (aliyeshika mike) ambaye siku ya party hiyo alikuwa ni mc wa tukio zima na katikati ni Dj Ommy


Kundi la kibao kata likitoa burudani kwenye party iliyofanyika Azura karibu na fukwe za bahari ya Hindi

Warembo wa kibao kata wakikata mauno kwenye party hiyo

Ilikuwa ni nimaaa sana

Mc Babu Ayubu akitoa burudani kwenye party ya kibao kata iliyofanyika Azura

Baadhi ya watu waliofika kwenye party hiyo
Picha hizi hapa chini zinawaonesha wanamitindo wakipita na mavazi mbalimbali ya ufukweni












Msanii chipukizi kwenye nyimbo za mwambao akifanya ya kwake


Wadau wakifuatilia party hiyo
HUU NDIO UCHAFU ULIOFANYIKA KWENYE PARTY YA KIBAO KATA...FULL LAANA...ANGALIA PICHA ZOTE HAPA HUU NDIO UCHAFU ULIOFANYIKA KWENYE PARTY YA KIBAO KATA...FULL LAANA...ANGALIA PICHA ZOTE HAPA Reviewed by Unknown on 11:55:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.