MARTIN KADINDA ANUNUA GARI MPYA BAADA YA KUMZAWADIA WEMA SEPETU GARI YA BEI KUBWA ILIYOLETA UTATA

Baada ya Martin Kadinda Kumzawadia Gari ya Gharama Wema Sepetu siku ya Sherehe ya kuzaliwa kwake iliyoleta utata naye ameamua kununua gari kali aina ya Primera Kuwakata Watu Midomo walio shangaa kwa yeye Kumpa mtu zawadi ya gari ya gharama wakati yeye hana ...

Jionee Picha hapo chini na Ujumbe aliondika kwenda kwa mashabiki wake:


MARTIN KADINDA ANUNUA GARI MPYA BAADA YA KUMZAWADIA WEMA SEPETU GARI YA BEI KUBWA ILIYOLETA UTATA MARTIN KADINDA ANUNUA GARI MPYA BAADA YA KUMZAWADIA WEMA SEPETU GARI YA BEI KUBWA ILIYOLETA UTATA Reviewed by Unknown on 10:51:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.